Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Jamaa anataka iwe kazi ya watu wengine kumtibu,tafuta hela acha ujinga wa kulalamikia ndugu
afya yako ni wajibu wako
mkuu acha kutwika watu wajibu wako
hawa ndo wale wazazi wa generation Z ,WAJAMAA sana. Nyerere aliwadekeza na vitu vya bureJamaa anataka iwe kazi ya watu wengine kumtibu,
Kujitibu ni jukumu lako aiseee
CD ya "tafuta hela" ilishachuja kitambo sana. Nani ambaye hatafuti hela duniani?tafuta hela acha ujinga wa kulalamikia ndugu
afya yako ni wajibu wako
mkuu acha kutwika watu wajibu wako
Sasa mzee amna sex kabisa?Waafrica hauwajui vizuri mkuu wewe?.
Ni vizuri Kama Unafanya kazi ujitunze na ujiwekee akiba
Kula vizuri
Lala mapema
Usinywe pombe Sana
Sigara bangi acha
Uzinzi acha.
Kujichua acha
Fanya maombi Sana .
Kata bima ya afya
Bima ya chakula
Bima ya nyumba na biashara.
Sasa mzee amna sex kabisa?