Nauliza kuhusu koti la Mh. Rais John Magufuli

Nauliza kuhusu koti la Mh. Rais John Magufuli

Encryption

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
997
Reaction score
1,348
Wakuu habarini za usiku huu,

Nimeandika andiko hili kutokana na kumuona Mh. Rais tangu ameanza kufanya ziara Mikoa ya Kusini hajabadili koti na kila tukio ninalomuona kwa siku za hivi karibuni koti ni lilelile.

Kiitifaki limekaaje hili wakuu?
koti la Magu.jpeg
 
wakuu habarini za usiku huu,
Nimeandika andiko hili kutokana na kumuona Mh. Rais tangu ameanza kufanya ziara Mikoa ya Kusini hajabadili koti na kila tukio ninalomuona kwa siku za hivi karibuni koti ni lilelile.
Kiitifaki limekaaje hili wakuu?
Kamuulize mwenyewe.
 
Mkuu unamkubali sana mkuu wa inchi naomba unisaidie sababu zinazokufanya mkubali sanaaaaaaa
Mwenyewe si unaona ? Mwenye macho haambiwi tazama bwana. Namkubali kwenye country construction. Simkubali kwenye social construction.
 
Back
Top Bottom