Nauliza kuhusu koti la Mh. Rais John Magufuli

Nauliza kuhusu koti la Mh. Rais John Magufuli

Shati nimevaa la jana ila gari nimebadil[emoji444][emoji444]
 
Mh Rais anayo makoti mengi yenye muonekano huo. Acha u busybody
 
Mwenyewe si unaona ? Mwenye macho haambiwi tazama bwana. Namkubali kwenye country construction. Simkubali kwenye social construction.
Japo amenitia umaskini sana.lakini inchi ameiweka vizuri nadhani ingekuwa mtu mwingine nje ya yeye inchi hii ingekuwa hoi sana now.mwambie tu anilipe pesa zangu mkuu
 
Japo amenitia umaskini sana.lakini inchi ameiweka vizuri nadhani ingekuwa mtu mwingine nje ya yeye inchi hii ingekuwa hoi sana now.mwambie tu anilipe pesa zangu mkuu
Endelea kudai haki yako. Haki ya mtu haipotei.
 
kwa picha mbili au tatu.. mbona ni tofauti..
Muchekiwe macho mnafikiri hajabadili..
 
Back
Top Bottom