Nauliza kuhusu koti la Mh. Rais John Magufuli

Nauliza kuhusu koti la Mh. Rais John Magufuli

wakuu habarini za usiku huu,
Nimeandika andiko hili kutokana na kumuona Mh. Rais tangu ameanza kufanya ziara Mikoa ya Kusini hajabadili koti na kila tukio ninalomuona kwa siku za hivi karibuni koti ni lilelile.
Kiitifaki limekaaje hili wakuu?
chezea moshi wewe?
 
Na leo kavaa kanisani
Screenshot_20191027-130324.jpeg
 
Huu sasa ni ungese au ushoga kwa style nyingine unaangalia mwanaume anavyovaa.
Utalambwa kipara si muda
 
Kwa wanaomjuwa Kingo (cartoon) alikuwa nazo pea saba kabatini, kila siku alikuwa anaonekana amevaa vivyo hivyo.
Aisee mkuu umenikumbusha mbali sana...Nilikua namuita Kingo by James Gayo. Gazeti la Nipashe kama sikosei
 
Kuhama Ikulu ya Dar si kazi rahisi. Ndo maana Bashite hafukuzwi. Hizi ndio kazi zake
 
Itakua ni koti lake pendwa kabisa.
 
Back
Top Bottom