Nauliza kuhusu koti la Mh. Rais John Magufuli

wakuu habarini za usiku huu,
Nimeandika andiko hili kutokana na kumuona Mh. Rais tangu ameanza kufanya ziara Mikoa ya Kusini hajabadili koti na kila tukio ninalomuona kwa siku za hivi karibuni koti ni lilelile.
Kiitifaki limekaaje hili wakuu?
chezea moshi wewe?
 
Unatia aibu πŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
Yeye ndie anatia aibu. Rais una mshahara mkubwa kila kitu unafanyiwa unajishusha nakujiabisha kwa kuiba rambirambi tena mchana kweupe na matusi juu.

Sasa hapo nani anatia aibu?!!!
 
Huu sasa ni ungese au ushoga kwa style nyingine unaangalia mwanaume anavyovaa.
Utalambwa kipara si muda
 
Kwa wanaomjuwa Kingo (cartoon) alikuwa nazo pea saba kabatini, kila siku alikuwa anaonekana amevaa vivyo hivyo.
Aisee mkuu umenikumbusha mbali sana...Nilikua namuita Kingo by James Gayo. Gazeti la Nipashe kama sikosei
 
Kuhama Ikulu ya Dar si kazi rahisi. Ndo maana Bashite hafukuzwi. Hizi ndio kazi zake
 
Itakua ni koti lake pendwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…