jibu sahihiWapo wachache
Sidhan kama Ni kweli, sijawai ona video simba akifanikiwa kuwinda na kumla faruNimeenda Google nimepewa hili JibuView attachment 2989486
Mazingira yao pia wanamoishi, ngoja nitakupa nondo after an hourSidhan kama ndio sababu
Ana nguvu za kutosha za kumletea upinzani Simba,hvyo haliki kirahisi ingawa analikaFafs
Fafanua mkuu
Ni kweli Simba hana Historia ya kumuweka Faru chini hata mtoto wa Faru tu ni kipengeleWakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?
Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo,twiga na kiboko
Mkuu usitudanganye bwana.Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?
Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.
Utakuta nyama yake haielewi kivile kama nyama nyingine.Kama tembo anawindwa, kwann faru?
Mkuu simba hata wawe 1000 hawawezi kumuwinda tembo mkubwa.Faru unamchukuliaje mkuu,ni mchele mchele kama hao wengine au?