DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?
Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.