Nauliza mbona Telegram haifanyi kazi kwangu

Ilifungiwa huko nchini daslam, ukitaka mambo yetu yaleeee....😋 tumia VPN itafungua za kila aila mkuu...😊
 
Ukitumia Yas/tigo inafunguka bila VPN
 
Kama hautaki kutumia VPN basi tumia link hii, Hakikisha umepakua app ya telegram kutoka playstore kisha Bofya link na itakupeleka moja kwa moja telegram, Itakusubirisha kidogo ikiwa ina connect na utaendelea na utaratibu wa kawaida. Wanaita Proxy wenyewe. Enjoy

 
Mbona inaload sana kama haifanyi kazi hivi , nimeclicl haijanipeleka Telegram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…