Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

polokwane

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
3,361
Reaction score
5,842
Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
IMG_20230714_015057.jpg
 
Kiongozi utaharibiwa gari, endesha tu kama lilivyo. Hizo gari za kawaida sio nzuri za modification kubwa kwani bodi yake sio ngumu
Ila kama hujali gharama/hasara ya kuharibiwa gari; modification kama hizo unaweza kupata Arusha au Moshi. Kule ndiko hubadilisha Landcruiser za mjapan na kuifanya mteja anavyotaka
 
Ile gereji ya wachina pale Shekilango sijui kama bado ipo, nakumbuka walikuwa wanaweza kufanya hivyo ila ni gharama
 
Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
View attachment 2687232
Ipeleke Uganda Kampala kuna jamaa anaitwa DK Car Modifications. Ataitengeneza jinsi unavotaka, japo itaku cost somehow. Pia kuisafirisha hadi Uganda.

Jamaa amezichezea sana MarkX zinafunguliwa milango kuelekea juu km Lamborghini. Anaifanya gari the way unavotaka.
 
Back
Top Bottom