Nauliza tu, hivi hawa watu wote wanaoenda Kizimkazi wanatoa pesa za rambrambi?

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
417
Reaction score
1,999
Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan

Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je wanatoa pesa au ni maneno ya faraja tu,

Nmeuliza Ivo kwa kutambua nafasi ya mama kama mkuu wa nchi
 
Nenda kamuulize huyo muuaji. Sasa unauliza humu ili iweje
 
Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan

Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je wanatoa pesa au ni maneno ya faraja tu,

Nmeuliza Ivo kwa kutambua nafasi ya mama kama mkuu wa nchi
Weka humu 🗑️
 
Akili za kimaskini hizo, pole siyo pesa. We Rais utampa pesa gani?
 
Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan

Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je wanatoa pesa au ni maneno ya faraja tu,

Nmeuliza Ivo kwa kutambua nafasi ya mama kama mkuu wa nchi
ok.🐒
 
Hapo kuna watu wanaratibu hilo zoezi, huendi bila chochote hapo. Ukisikia salamu za Raisi wa Kenya na ujumbe wake, Hassan Joho hawezi kuleta salamu za raisi wa Kenya bila cha kushika mkononi, ujue kuna paycheck hapo. Kufa kufaana.
 
Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan

Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je wanatoa pesa au ni maneno ya faraja tu,

Nmeuliza Ivo kwa kutambua nafasi ya mama kama mkuu wa nchi
Hivi mbona hatukuwaona mkikimbizana kuja kutoa pole tulipofikwa na misiba ya ndugu zetu October 29?
 
Back
Top Bottom