- Thread starter
- #21
Yaan watu wa hovyo sana mmewahasisha watu wafanye vurugu, wakafanya wakapat madhara hamjazipa familia zao faraja Wala misaada Leo imekua agenda eti mnawalilia mmehuzunishwa sana, ujingaHivi mbona hatukuwaona mkikimbizana kuja kutoa pole tulipofikwa na misiba ya ndugu zetu October 29?