Nenda kamuulize huyo muuaji. Sasa unauliza humu ili iwejeNampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan
Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je wanatoa pesa au ni maneno ya faraja tu,
Nmeuliza Ivo kwa kutambua nafasi ya mama kama mkuu wa nchi
Weka humu 🗑️Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan
Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je wanatoa pesa au ni maneno ya faraja tu,
Nmeuliza Ivo kwa kutambua nafasi ya mama kama mkuu wa nchi
Akili za kimaskini hizo, pole siyo pesa. We Rais utampa pesa gani?Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan
Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je wanatoa pesa au ni maneno ya faraja tu,
Nmeuliza Ivo kwa kutambua nafasi ya mama kama mkuu wa nchi
Ndo uone utofauti sasa, siku ukiambiwa tukachome Mali za watu utatuliaHATUJAONA POLE KWA WALIOUAWA OCTOBER 29 ,HAO NI UCHAWA TU
ok.🐒Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan
Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je wanatoa pesa au ni maneno ya faraja tu,
Nmeuliza Ivo kwa kutambua nafasi ya mama kama mkuu wa nchi
Wana akili sana yaan wametuuza watu wote na wewe umo Hawa ni wajanja kuliko sisiUkiona mtu anafikiria pesa za rambirambi ujue.....
Hao hawana shida na rambirambi, wameshauza robo ya hii nchi wamechukua 10%
SawaEti baba yetu, uchawa ni janga aiseeh
SawaKujipendekeza tu
Acha roho mbaya muuaji amemuua mama yako auNenda kamuulize huyo muuaji. Sasa unauliza humu ili iweje
Wangejua wajanja wangeuficha wizi wao usijulikane!Wana akili sana yaan wametuuza watu wote na wewe umo Hawa ni wajanja kuliko sisi
Minyumbu mtateseka Hadi mwisho wa Dunia🤣🤣🤣🤣Ukiona mtu anafikiria pesa za rambirambi ujue.....
Hao hawana shida na rambirambi, wameshauza robo ya hii nchi wamechukua 10%
Hizo asilimia 90 ziko wapi mbona hazionekani?Ni uthibitisho kwamba wamebugia zote.Ukiona mtu anafikiria pesa za rambirambi ujue.....
Hao hawana shida na rambirambi, wameshauza robo ya hii nchi wamechukua 10%
Hivi mbona hatukuwaona mkikimbizana kuja kutoa pole tulipofikwa na misiba ya ndugu zetu October 29?Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan