Nauliza tu, hivi hawa watu wote wanaoenda Kizimkazi wanatoa pesa za rambrambi?

Hivi mbona hatukuwaona mkikimbizana kuja kutoa pole tulipofikwa na misiba ya ndugu zetu October 29?
Yaan watu wa hovyo sana mmewahasisha watu wafanye vurugu, wakafanya wakapat madhara hamjazipa familia zao faraja Wala misaada Leo imekua agenda eti mnawalilia mmehuzunishwa sana, ujinga
 
Wewe uliishawahi kwenda kuhani msiba bila chochote kwasababu mfiwa ni tajiri au ana cheo kikubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…