Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Aagh wapi..!! hakuna cha uhaba wa majina wala nini. Tuliamua tutoke kivyetuvyetu... Kama ilivyo kwa akina Shekinyashi, Shemdoe, Shemahonge, SHETANI .... etcWale akina komba hujawasikia huko kusini? huenda wana uhaba wa majina...
Embu kwanza taja majina ya kwenu..!! Maana isije ikawa unawasema watu huku kumbe na wewe walewale akina Mwainyekule, mwakapumbu etcNa wenzao akina Ngonyani, Katembo, Simba na Mapunda, majina ya wanyama watupu.., ni kukosa ubunifu tu..
Hayo ni majina ya ukoo kama unavyosikia kina Lyimo huko Moshi, kina kimario kina kimaro. NkHahah.., inakuwa too monotonous.., kuweni creative kidogo basi, khaa
Ndio muwe wabunifu sasa...Hayo ni majina ya ukoo kama unavyosikia kina Lyimo huko Moshi, kina kimario kina kimaro. Nk
Ni wengi na wengine hata uhusiano hawana ila ni majina ya koo yanafanana.
Ubuni jina la ukoo!?Ndio muwe wabunifu sasa...
Kwani hilo jina la Ukoo limetokea wapi kama si mtu alibuni?Ubuni jina la ukoo!?
We jamaa ni wa wapi wewe!?
Walipewa na mizimu hakubuni mtu.Kwani hilo jina la Ukoo limetokea wapi kama si mtu alibuni?
Haya , hiyo mizimu iyongeze ubunifu sasaWalipewa na mizimu hakubuni mtu.