Nauliza tu jamani!!

Nauliza tu jamani!!

Napenda kufahamu tatizo linakuwa wapi??

Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika hivi ni kwanini?? Hata ile Sweet, My Love, Darling, Dear nk zinakwisha KULIKONI JAMANI???
mmetamaniana....kama kuku!!
 
WEWE JIBABA ULICHOTAKA UMEPATA
so huna sababu za kutuma ten kama anataka atume.
 
kama hakupigii piga wewe, mens wengi ni wavivu kuandika msg hata kupiga kama hakuna jambo lolote la msingi la kukuambia laba kama sikui hiyo anataka kugonga ngozi ndo atapiga2 na kutoma msg, zile za mwanzo ilikuwa chambo ya kukunasia tuu!!

Hapo umegonga kwenye msumari kabisa ingawa kiukweli watu wanapaswa kupeana space pia, siyo kila saa simu, msg mpaka inakuwa boring... :smile-big:
 
inawezekana
1. hakukipata/hakukuta kile alichotegemea kwako na alikua anakita majina yote hayo ili kuharakisha kupata mchezo
2. Ana kicheche mwingine ambaye anampa zaidi au wewe ndio uliingilia mahusiano yaliyokuwepo na hivyo akakufanya mane mane iliyokuja bila garama
3. Wewe ni msumbufu, kila saa unataka upigiwe simu, una lawama nyingi, maswali mengi n.k! kinamfanya akukwepe

Jaribu kuongea nae mwambie tatizo ni nini! ila wewe unamwita hayo majina ya kitapeli (my love, darling, honey kwani yeye asali!!!!
 
Wanawake wanakuwa wagumu kabla... lakini ukishampata anaanza kuwa king'ang'anizi.... !sitaki mazoea ya kung'ang'aniana.....
 
Wanawake wanakuwa wagumu kabla... lakini ukishampata anaanza kuwa king'ang'anizi.... !sitaki mazoea ya kung'ang'aniana.....

Ulinitakia nini sasa??? Uonje tu halafu ule kona wanaume nyie bana sijui mkoje???
 
Na mimi nauliza tu jamani, hivi hapa tunazungumzia kuonja au kuonjana????
 
Kwa hiyo wewe unataka mara moja na kuondoka kwani unaonja chumvi kwenye mboga???

Hahahaha! Hivi kumbe mboga yaonjwa mara moja? Sasa kama nimeonja nikakuta chumvi imezidi kuna haja ya kuonja tena au kutengeneza mboga nyingine?
 
Hahahaha! Hivi kumbe mboga yaonjwa mara moja? Sasa kama nimeonja nikakuta chumvi imezidi kuna haja ya kuonja tena au kutengeneza mboga nyingine?

Haya wewe endelea tu shauri yako. Chumvi si unaonja mara moja unataka uonje onje mara nyingi si itaishia jikoni mboga yenyewe???
 
Haya wewe endelea tu shauri yako. Chumvi si unaonja mara moja unataka uonje onje mara nyingi si itaishia jikoni mboga yenyewe???

Sasa kama mboga imezidi chumvi kiasi kwamba hailiki, haikupasi kutafuta mboga mbadala?
 
vidume ''WAKISHALOWEKA'' ndo wamemaliza kazi hao.......

labda ukutane na LOVER_BOY fulani hivi ambaye anazipenda hizo kitu.....!ukikutana na vijana ''fulani'' hivi wao ni SINGLE USE

singe use huh??hii nimeipata leo sijaisikiaga....
 
Back
Top Bottom