Nauliza tu kipi kilitakiwa Kitangulie kuwa Imara Kwanza kati ya Umeme wa uhakika katika Mfumo au Jongoo aanze 'Matembezi Kasi' tupate Sifa za haraka?

Nauliza tu kipi kilitakiwa Kitangulie kuwa Imara Kwanza kati ya Umeme wa uhakika katika Mfumo au Jongoo aanze 'Matembezi Kasi' tupate Sifa za haraka?

Umeme ulitakiwa uwe wa uhakika, ndio jongoo atembee, nasikia watu walijikojolea ulipokatika ghafla, wasirudie kuzua taharuki tu
Nimecheka mpaka basi. Nasikia baada ya Jongoo Kukwama Queen Sheeba ameogopa Kuipanda na Kuizindua rasmi Kesho.
 
Hahaaa, hivi Mtani hua wanazindua kila siku, maana walishazindua kumbe kuna uzinduzi tena
Queen Sheeba Kesho anazindua kutokea Dar es Salaam kwenda Dodoma labda aghairi kwa kuogopa Umeme nae Kumkatikia si unajua tena Mtani 2025 hii hapa na Mawindo Kwake ni mengi hasa baada na Yeye pia kuamua kuja na Kundi lake ndani ya Makundi Manne ya Mafia watupu ndani ya Chama?
 
Back
Top Bottom