Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunapenda waumri Kama wako huo 30sMaana hata machizi wanapewaga offer yakula kunywa na mechi nanivichaa
Wewe mmoja wapoNaona leo ni zamu ya vichaa kupewa.
Wewe mmoja wapo
Gari mbivu haiwezi kuvuta gari nzima.....OJ SimpsonMambo zenu vichaa wetu wanaume jf.
Sasa swali ni hili katika kupewa mechi za kirafiki maana wengi humu ni hamna hela ???
Mnapoonewa huruma ni wapi mnaenjoy mwanadada mwenye umri mdogo au mwanadada aliyekula chumvi nyingi??
Hebu toeni ushahidi hapa mzabzab
SinakupataGari mbivu haiwezi kuvuta gari nzima.....OJ Simpson
Ukitaka kununua gari utachagua iliyotwmbea kilometer chache
Vitoto hapana..!!Mambo zenu vichaa wetu wanaume jf.
Sasa swali ni hili katika kupewa mechi za kirafiki maana wengi humu ni hamna hela ???
Mnapoonewa huruma ni wapi mnaenjoy mwanadada mwenye umri mdogo au mwanadada aliyekula chumvi nyingi??
Hebu toeni ushahidi hapa mzabzab
WhyVitoto hapana..!!
Haya happy new yearHappy new year UF
Sitaki vitoto kwa sababu zifuatazo;
Wacha na.mtu mzima Hana hizooSitaki vitoto kwa sababu zifuatazo;
1. Vinataka show off sana kwa wenzie. Hasa kama una gari, iwe baby walker au ipo fully branded (say Vodacom, TBL etc)
2. Mapenzi ya kitoto yale ya bebi umekula, bebi upo wapi, bebi vyokovyoko..!!
3. Unakiambia tukutane saa flani mahali flani, Kinaweza kije kesho yake..!!
4. Vingi vinataka fasheni za kila kitu..!! kuna simu mpya, kimo, kuna dera jipya kimo, kuna kile kipya kimooo..!!
Si zile za watoto. Wapo watu wazima kama watoto..!! Ila wengi ni waelewa. Mkikaa chini mkaambiana mbona wanaelewa tu..!!Wacha na.mtu mzima Hana hizoo
Kwanza tutake radhi ndo tukujibu🙂Mambo zenu vichaa wetu wanaume jf.