Nauliza tu kwa wanaume hili swali

Nauliza tu kwa wanaume hili swali

Sasa kama wanadalili sisi tufanyaje unajua mtu akionekana hajitambui anapatiwa jina nimetukanwa na wanaume humu wengi tu matusi mengi tu nahuku Mungu aliwapa cheo , nyumbani na kawapa hekima na humu sijaona ni baadhi Tena wameoa

Una shida mahali
 
Mimi vitoto hapana aisee. Napenda kuanzia 40 na kuendelea wale hawana showoff
 
Back
Top Bottom