Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu.
Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi.
Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani? Au ni mambo tu ya kiutawala anamuamini Kaze yuko na personal problems?