Nauliza tu, Profesa Nabi yuko wapi? Au ana tatizo gani?

Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu.

Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi.

Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani? Au ni mambo tu ya kiutawala anamuamini Kaze yuko na personal problems?
Yupo nje ya nchi kushughulikia vibali vyake vya kumuwezesha kufanya kazi nchini. Muda si mrefu atajumuika kwenye timu yake pendwa ya wananchi.
 
Sema uongozi wa Yanga umekaa kimashakamashaka sana kukuta wameshavurugana huko ni kugusa
Maana nilisikia hakubaliani na madeko ya bambucha Morrison Sasa sijui anyway mpira wa tz ni usiupende sana
Wewe ndio unaufanya mpira wa Tanzania uonekane ni wa hovyo, maana hata maoni yako tu ni ya hovyo hovyo. UVCCM ubongo wenu una matatizo sana.
 
Yupo nje ya nchi kushughulikia vibali vyake vya kumuwezesha kufanya kazi nchini.
Vibali vya kufanya kazi nchini Tanzania huwa haviombwi Ubelgiji, kwa hilo amewadanganya kwa kuwa anawajua nyie ni nani na mko wangapi 😁😁😁
 
Shida yangu ilikuwa kujuwa kulikoni, niliyeuliza tayari nimeshajiridhisha alikuwa na mambo muhimu yaliyohitaji yeye lazima asafiri kwenda Ubeligiji na amesharudi.

Kwahiyo tuliza kipago, work permit zinatoka immigration kurasini.
 
hata mimi nilikuwa sikujibu wewe, nilikuwa namjibu Tate Mkuu aliyesema Nabi yupo Ubeleshi kushughulikia vibali vya kufanya kazi Tanzania!
 
Shida yangu ilikuwa kujuwa kulikoni, niliyeuliza tayari nimeshajiridhisha alikuwa na mambo muhimu yaliyohitaji yeye lazima asafiri kwenda Ubeligiji na amesharudi.

Kwahiyo tuliza kipago, work permit zinatoka immigration kurasini.
Sema kweli, kesharudi? Maana ile timu akiachiwa kaze mechi tatu zijazo tunapoteza zote. Pale hakuna kocha.
 
Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu.

Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi.

Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani? Au ni mambo tu ya kiutawala anamuamini Kaze yuko na personal problems?
jibu umelipata nabi yupo wapi
 
Sawadogo yupo wapi mbona hachezi?
 
Wewe ndio unaufanya mpira wa Tanzania uonekane ni wa hovyo, maana hata maoni yako tu ni ya hovyo hovyo. UVCCM ubongo wenu una matatizo sana.
Hahaha kunywa maji upoe Kisha uje ujibu swali Nabi yuko wapi!?
 
Kaze ni bora zaidi kuliko Nabi!! Nabi anabebwa na ujuzi wa Kaze, amini usiamini!!
 
Back
Top Bottom