Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
🤣Ndio nani huyo?
Mume wako.Ndio nani huyo?
passport imeksipayaSikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu.
Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi.
Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani? Au ni mambo tu ya kiutawala anamuamini Kaze yuko na personal problems?
Ina maana ubalozi wao hautowi passport mpya?passport imeksipaya
Viza inashughulikiwa na Yanga Tanzania, siyo kazi yake.Anarudi ,kaenda kushughulikia Visa yake chap,ana kibarua kizito mbele ,kwa hiyo kaona aachane amalizane kabisa na visa
Si kweli, hata mwaka haujaisha alienda kurenew Ubelgijipassport imeksipaya
Ina maana ubalozi wao hautowi passport mpya?
Pass book imejaa kaenda Belgium kuomba ingine ....hakuna page kungonga visa akisafiri na team .....Viza inashughulikiwa na Yanga Tanzania, siyo kazi yake.
Tena yeye atakuwa anatumia permit siyo viza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mume wako.
Basi hao Wabeligiji ni warasimu sana, hizo ni kazi za ubalozini.P
Pass book imejaa kaenda Belgium kuomba ingine ....hakuna page kungonga visa akisafiri na team .....
Immigration ipo Kurasini aende Belgium kufuata nini?Ameenda Belgium kuirenew visa yake
April 16 utamuona pale kwenye bench
Ukute ana uraia pacha etc....need physical to be there....kila nchi na sheria yake ....Basi hao Wabeligiji ni warasimu sana, hizo ni kazi za ubalozini.
Possibly, maana Nabi ni Mtunisia.Ukute ana uraia pacha etc....need physical to be there....kila nchi na sheria yake ....