Kiuhalisia mbunge anasura zifuatazo kukubalika jimboni kwake na kitaifa kwa maana kuwa mbunge wa kitaifa.wengne wanakuwa hawana hzo sifa zote ame miss mmojawapo.flatey jimbon kwake anakubalika alikuwa karibu na watu wake kuleta maendeleo napia hakuleta ubaguz wa kichama watu wote walikuwa wakwake bila upendeleo.ila sifa za kitaifa hana sbb elimu ndogoHeee...kumbe alikua anakubalika pamoja na mibinuko yake....hii nchi unatakiwa usiiwe serious sana
Kwamba atakuwa ameenda VETA kuendeleza ujuzi wa kubinukaOh okey. Basi atakua kaenda kujiendeleza kwenye sarakasi.