Nauliza tu Yanga ndio bingwa wa ligi anacheza shirikishoSimba sio bingwa anacheza kombe la mabingwa hii imekuwaje?

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Wadau naomba Ufafanuzi kidogo juu ya hiyo kwanini YANGA ambao ndio Bingwa wa Ligi Kuu anacheza Shirikisho Kombe la Washindwa na SIMBA ambao Sio Bingwa wa Ligi anacheza KOMBE la MABINGWA kwani YANGA nini KILIWAPATA?
Naomba Majibu yasiwe ya HASIRA na CHUKI
 
Kawaulize Tp mazembe kwa nini wanacheza shirikisho wakati wao ndio mabingwa wa DRC?
 
Majibu wanayo ila hawawezi kukupa.We endelea kufurahia ushindi wa saba kwa nunge(7-0)!
 

Dogo janja inaonyesha akili yako bdo imeganda

Fuatilia na Uefa Champion league na ligi za ulaya utapata majibu ya maswali yako km hauto kaza kichwa
 

Dogo janja inaonyesha akili yako bdo imeganda

Fuatilia na Uefa Champion league na ligi za ulaya utapata majibu ya maswali yako km hauto kaza kichwa
 
Mazembe nayo timu? Loser kama yule anafungwa na vipers kutupwa kwenye kombe la malosers pamoja na kina uto
Class is permanent, form is temporary
Mazembe Sio class ya Yanga wala Simba, labda kama unajitoa ufahamu
 
Unawadhalilisha mashabiki wenzako kwa kuuliza maswali ya watoto wa chekechea.
 
Tuku ulize wewe unaecheza Champions League unazidiwa points na anae cheza shirikisho
 
Nenda CAF huko ukawaulize
 
Shirikisho ni kushirikiana, kiushirika haina madhara. Mabingwa ndo kila kitu.
 
Umeanza kufatilia mpira wiki hii nini [emoji23][emoji23][emoji23], maana kama ungeanza mwaka jana ungefahamu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna timu ya hapa Bongo imetinga robo fainali kwa kishindo lakini mashabiki wake hawana furaha!

Watapigwa kama ngoma robo fainali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…