Nauliza tu Yanga ndio bingwa wa ligi anacheza shirikishoSimba sio bingwa anacheza kombe la mabingwa hii imekuwaje?

Uliwahi kupita shuleni? Basi ufafanuzi wa swali lako uko hivi; YANGA ni sawa na mwanafunzi anayeongoza darasani kwenye mitihani ya ndani ya shule (mfano midterm, terminal na annual examinations) ila anafeli vibaya kwenye mitihani ya nje (mfano Mock na Necta Examinations). SIMBA yenyewe ni sawa na mwanafunzi mwenye ufaulu wa wastani kwenye mitihani ya ndani ya shule ila kwenye mitihani ya nje ya shule yuko 🔥 Ile mbaya kumzidi anayeongoza darasani kwao. Hapo nani mjanja?

Huyu mwanafunzi anayefaulu internal examinations pekee (YANGA) walakini sana. Ukimchunguza sana utagundua anafaulu sana mitihani ya ndani kwa sababu zifuatazo:

1.Huwa anaotea au anajua style ya utungaji mitihani wa Mwalimu wake hapo shuleni, akikutana na mitihani ya Walimu wa shule nyinginezo lazima achemke. Hapa namaanisha YANGA ameizoea ligi ya ndani na rhythm yake.

2.Mwanafunzi huyu inawezekana huwa anaiba paper au anaonyeshwa paper na Mwalimu wake, akikaziwa kwenye paper za Mock au Necta lazime ahesabu mabati. Hapa namaanisha YANGA huwa anapenyeza bahasha kwa waamuzi ili abebwe. Sasa kule CAFCL na hata CAFCC hakunaga mambo ya bahasha, ni uwezo wako ndo utakubeba.

Mwisho wa siku mwanafunzi huyu hufeli ila wenzake alikuwa anawapita darasani (Simba SC) husonga mbele kwenye levels nyingine za elimu na kumwacha akisema ''Mimi nilikuwa na akili kumzidi fulani (Simba), darasani alikuwa ananijua!". Ehee,halafu ikawaje?

Majibu mwengine wataongezea wadau.
 
Ulitegemewa tutafungwa,hauamini macho yako
Ndio maana mnashinda Kubet umeulizwa swali rahisi na jepesi badala ya kujibu unaanza maelezo ya sijui mlijua tulijua nini sasa?
 
Kawaulize Tp mazembe kwa nini wanacheza shirikisho wakati wao ndio mabingwa wa DRC?
Tumia akili ndio maana nilitoa taadhali mapema unapojibu usiwe na Hasira wala chuki kwani nilijua kuna Wapumbavu watajitokeza kujibu kwa hasira kama wewe
 
Dogo janja inaonyesha akili yako bdo imeganda

Fuatilia na Uefa Champion league na ligi za ulaya utapata majibu ya maswali yako km hauto kaza kichwa
JIBU swali UROPA inahusikaje hapa ndio maana nilisema unapojibu usiwe na Hasira wala chuki kwani nilijua kuna Wapumbavu watajibu kwa Hasira kama wewe
 
Umeanza kufatilia mpira wiki hii nini [emoji23][emoji23][emoji23], maana kama ungeanza mwaka jana ungefahamu [emoji28][emoji28][emoji28]
Tumia Akili hata kidogo ndio maana niliuliza acha hasira na chuki
 
Ubingwa wa kuhonga huwa unaishia kombe la Shirikisho. Hata Mazembe nao hivyo hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu weuweeeeeeeeeeeee!!!
Umemaliza kila kituuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
OP kwa niaba ya wana Yanga, wanasema majibu ya swali lako
Wanayo Al Hilal. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
shirikisho wengi wamefeli kuwa sawa na magiant kama simba, mamelod sundowns
Kule wamekutana malosers watupu
horoya, vipers, coton sport n ma giant hahahahahah tp, yanga, pyramid, berkane,.mimosa asec ni ma looser
 
Mdau: Mimi ni Yang'aaaaaa..
Swali: unampenda mchezaji gani
Mdau: Tp Mazembeeeee
 
Mdau: Mimi ni Yang'aaaaaa..
Swali: unampenda mchezaji gani
Mdau: Tp Mazembeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.
Uwiiiiiih
 
Mambo hayo yanatokea Tanzania pekee.. ndio hivyo hivyo
 
horoya, vipers, coton sport n ma giant hahahahahah tp, yanga, pyramid, berkane,.mimosa asec ni ma looser
Yeah ni loser mfano utopolo alitolewa hatua ya awali kombe la klabu bingwa na al hilal na vipers (mbabe wa utopolo)iliwatoa tp mazembe baada ya kumpa kichapo pale uganda na kusare pale drc kombe la klabu bingwa una la kusema tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…