Kuna timu itapigwa kama ngoma robo fainali.Yeah ni loser mfano utopolo alitolewa hatua ya awali kombe la klabu bingwa na al hilal na vipers (mbabe wa utopolo)iliwatoa tp mazembe baada ya kumpa kichapo pale uganda na kusare pale drc kombe la klabu bingwa una la kusema tena?
Acha kuzungukazunguka mpe tu jibu la Moja kwa Moja kwamba Yanga alishindwa kwenye kombe la wakubwa akarudishwa kombe la watoto wenzake .Unawadhalilisha mashabiki wenzako kwa kuuliza maswali ya watoto wa chekechea.
Anavyo zungukaaa sasa, yaan huyu kakamatwaaa kila kona hana pa kutokea, anabaki kulia lia tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kuzungukazunguka mpe tu jibu la Moja kwa Moja kwamba Yanga alishindwa kwenye kombe la wakubwa akarudishwa kombe la watoto wenzake .
Huna raha wewe na mwiko wako huko nyumaKuna timu itapigwa kama ngoma robo fainali.
Mashabiki hatuna raha pamoja na kuingia kwa kishindo kikubwa robo fainali.
Jibu hoja zwazwa wewe. Acha kurukarukaunalazimisha furaha dogo
Jibu hoja mjinga wewe.Kawaulize Tp mazembe kwa nini wanacheza shirikisho wakati wao ndio mabingwa wa DRC?
Ubingwa wa Utopolo wa tigo pesa. Mara beki kajifunga, Mara kila katema wanafunga.ubingwa wao ulikua wa mchongo.hapo ndo kwenye shida.
Jibu hoja acha kuruka ruka au ndio uchura wenyewe!Dogo janja inaonyesha akili yako bdo imeganda
Fuatilia na Uefa Champion league na ligi za ulaya utapata majibu ya maswali yako km hauto kaza kichwa
Jibu ni kwamba klabu bingwa wanacheza wale magiant wampira wa Afrika. Vilabu vikubwa!Wadau naomba Ufafanuzi kidogo juu ya hiyo kwanini YANGA ambao ndio Bingwa wa Ligi Kuu anacheza Shirikisho Kombe la Washindwa na SIMBA ambao Sio Bingwa wa Ligi anacheza KOMBE la MABINGWA kwani YANGA nini KILIWAPATA?
Naomba Majibu yasiwe ya HASIRA na CHUKI
Makolo [emoji23][emoji23][emoji23]Wadau naomba Ufafanuzi kidogo juu ya hiyo kwanini YANGA ambao ndio Bingwa wa Ligi Kuu anacheza Shirikisho Kombe la Washindwa na SIMBA ambao Sio Bingwa wa Ligi anacheza KOMBE la MABINGWA kwani YANGA nini KILIWAPATA?
Naomba Majibu yasiwe ya HASIRA na CHUKI
Watakuita mshabiki wa hovyoWadau naomba Ufafanuzi kidogo juu ya hiyo kwanini YANGA ambao ndio Bingwa wa Ligi Kuu anacheza Shirikisho Kombe la Washindwa na SIMBA ambao Sio Bingwa wa Ligi anacheza KOMBE la MABINGWA kwani YANGA nini KILIWAPATA?
Naomba Majibu yasiwe ya HASIRA na CHUKI
Mliwakatalia Agosto goli na penati kabla ya makundi kisha mkawakatalia Vipers goli la kusawazisha, nani asiyejua Makolokolo mmefika robo fainali ya CAF kimchongo mchongo? [emoji1787]Wadau naomba Ufafanuzi kidogo juu ya hiyo kwanini YANGA ambao ndio Bingwa wa Ligi Kuu anacheza Shirikisho Kombe la Washindwa na SIMBA ambao Sio Bingwa wa Ligi anacheza KOMBE la MABINGWA kwani YANGA nini KILIWAPATA?
Naomba Majibu yasiwe ya HASIRA na CHUKI
Uzi ulipaswa uishie hapa [emoji38]Umeanza kufatilia mpira wiki hii nini [emoji23][emoji23][emoji23], maana kama ungeanza mwaka jana ungefahamu [emoji28][emoji28][emoji28]
Hakuna kitu kama hicho maana tunajua Yanga hanaga jipya mzunguko wa pili ligi kuu.Mwaka huu Simba naye atakuwa bingwa wa ligi ya NBC...
Hujui boli mazembe chali kifo cha mende wiki ya pili hii inapigiwa kura kwa kuwa mshiriki wa hovyoClass is permanent, form is temporary
Mazembe Sio class ya Yanga wala Simba, labda kama unajitoa ufahamu
Unashangaa watu wanao comment kama wewe wanatumia nini kufikiri.Tuku ulize wewe unaecheza Champions League unazidiwa points na anae cheza shirikisho
Tokea lini umekuwa VAR au kocha?Unafikiri kwenye mashindano ya CAF kuna marefa wa michongo kama hao wenu wa ligi ya tigo pesa?Mliwakatalia Agosto goli na penati kabla ya makundi kisha mkawakatalia Vipers goli la kusawazisha, nani asiyejua Makolokolo mmefika robo fainali ya CAF kimchongo mchongo? [emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app