Beatrice Kingsley
Senior Member
- Aug 20, 2018
- 102
- 104
hahahahahaaHata Warusi wamo, Ni-Pm mimi ni Vladimir Putin.
Wanafanya nn humu[emoji23] [emoji23]
Wewe sio mwarabu wa Dubai?Hahahahahahahahha
[emoji23][emoji23][emoji23] sauwaaahukianza kutafuta wazungu wa roho NITAFUTE tafadhali
Hata siwaelewi kabisa. bora tubaki mie nawe tu eeh?
Hahahahahha jaman Mungu anawaoneni me mpembaWewe sio mwarabu wa Dubai?
wanajua kiswahili siku hizi, ndo hao hao baadhi unaowaona wanakomenti ,kwa kiswahili
Unaona sasa yakhe... Mambo ya urojo yatokea hapa.Hahahahahha jaman Mungu anawaoneni me mpemba
Me wa kwenu bhanaHata siwaelewi kabisa. bora tubaki mie nawe tu eeh?
Eeh nawe mwenzetu wewe wa wawapi maana unaonekana sio wa kwetu kabisa