[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Usijali atapona huo utumbo very soon na atakauka mwili kama Bi.Sandra.
Kwanini ushaosha runguu huko niniWakuu,
Ni wakati wa kumsema huyu dada yetu mcute maana amekuwa bonge la mama.
Haiwezekani miss wenzie wakina K lyn na Faraja Kotta, Nancy wawe mamiss mpaka leo yeye awe bonge nyanya.
Haiingii akilini kabisa...inamaana ameshindwa kujizuia kula.
Au ni kweli kuwa alitumia masindano kuongeza kalio hewa na sasa zimemfanya awe mbuyu!
Jamani pungua dada...ili muonekano wako uwe mzuri...
weka picha basi tuone ukubwa wa tatizo
Kwamba alienda India kuhangaikia uzazi? Sa mbona tunasikia amelazwa?Mange ana laana ya dunia Mungu tena,mwenzie anahangaikia uzazi yeye analeta upuuzi wake wa kukata utumbo.Ushindwe wewe Mange!
Kawa kama alimeza puto
hahaha mimi ndio siwezi hata kuelezea ....""Nilikumiss we mtu
Mupogo nyinyi mtu?Ndiwoooo. Kakata utumbo.
Duh!!!Ameshakatwa tumbo now anaharisha tu.
Baada ya mwezi atakonda hadi kucha
dada anatiwa. sana hapa mjiniKawa kama alimeza puto
nakaziaTatizo anatoa sana jicho
Tupia namba pmnakazia
Sasa si atakuwa kipofuTatizo anatoa sana jicho
Naomba kuwasilisha....Hata Seth wa IPTL alikuwa na kitambi na unene alio rithi kutoka kwa baba yake lakini Magufuli kamsaidi kukiondoa kile kitambi
Duh Kweli Jela jerahaNaomba kuwasilisha....View attachment 800701View attachment 800702
Kule hapafai mkuu, yaani pasikie kwa mwenzio tuDuh Kweli Jela jeraha