Nauliza: Wema Sepetu kapungua ubonge?

Nauliza: Wema Sepetu kapungua ubonge?

Wakuu,

Ni wakati wa kumsema huyu dada yetu mcute maana amekuwa bonge la mama.

Haiwezekani miss wenzie wakina K lyn na Faraja Kotta, Nancy wawe mamiss mpaka leo yeye awe bonge nyanya.

Haiingii akilini kabisa...inamaana ameshindwa kujizuia kula.

Au ni kweli kuwa alitumia masindano kuongeza kalio hewa na sasa zimemfanya awe mbuyu!

Jamani pungua dada...ili muonekano wako uwe mzuri...
Kwanini ushaosha runguu huko nini
 
Mange ana laana ya dunia Mungu tena,mwenzie anahangaikia uzazi yeye analeta upuuzi wake wa kukata utumbo.Ushindwe wewe Mange!
 
Kawa kama alimeza puto
21107527_147345282520599_5854949608895021056_n.jpg

Ingesaidia kama nae angepumzishwa selo kaka wa IPTL, angepungua tu
 
Back
Top Bottom