Nauliza: Wema Sepetu kapungua ubonge?

Kumbe kula kula inaweza kukufanya uwe bonge nyanya!? Hebu nipe uzoefu kidogo kwa hili.
 
Hata Seth wa IPTL alikuwa na kitambi na unene alio rithi kutoka kwa baba yake lakini Magufuli kamsaidi kukiondoa kile kitambi
alaaniwe aliyesababisha jf isipatikane,mungu amjaze ukoma kunako makalio yake.like mkuu
 
Mama mwenye nyumba akiwa mnene ndo hupendeza zaidi ....sio unakua kembambaaa yaaan kembamba .

Hapo kakoswa ndoa tu, ila ingenoga.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Utanilipa mbavu zangu nyauu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Utanilipa mbavu zangu nyauu
Kweli tena Nyau wangu , unajua nn Kanamke kembamba kwanza vinakuaga na roho mbaya, vinaongea sanaa, vinanuna nuna tu muda wote bila sababu. Vinapenda kula chips tuuuuu, nivivivu kupikaaa, yaaaan ukikakuta Nyumban ,kama we nimgeni unaweza hisi nikadada kandan kakazi, sasa unakuja kustuka ukijua ndo mama wanyumba

Sisi kwetu ,kosea upelekee kembambaa, nambaya zaidi kawe kembamba nahakana Asili ya unene, .weeee utachekwa balaaa, alafu utajikuta unakalisha miaka nenda miaka rudi ,lkn bado Ngozi imembana.
 
Hahahahaha sema tu unapenda kula..usisingizie wadada wa watu wa wavivu

Na nimeanza kua mvivu wa upishi..hahahaha..jiandae kuninunulia chips
 
Hahahahaha sema tu unapenda kula..usisingizie wadada wa watu wa wavivu

Na nimeanza kua mvivu wa upishi..hahahaha..jiandae kuninunulia chips
Naww jiandae kukuta vyakula ndani ,ukishindwa kupika,utegemee chips nakuapia Utakonda ubaki mifupa [emoji23][emoji23].

Ujue nn, kumbatio lamwanamke mwenye minofu nangozi yakunawili huwa linakua Zuri mno.

Sasa unakuta mtu mwembambaaaa mpaka sura nayo ninyembambaaaaaa
 
haha african bantu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…