Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mama mwenye nyumba akiwa mnene ndo hupendeza zaidi ....sio unakua kembambaaa yaaan kembamba .Kawa kama alimeza puto![]()
Hapo kakoswa ndoa tu, ila ingenoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama mwenye nyumba akiwa mnene ndo hupendeza zaidi ....sio unakua kembambaaa yaaan kembamba .Kawa kama alimeza puto![]()
Hivi hilo nalo laweza kuwa chanzo cha unene kumbe!!!Tatizo anatoa sana jicho
Hatari sanaKule hapafai mkuu, yaani pasikie kwa mwenzio tu
kawauzia wauza supuNdiwoooo. Kakata utumbo.
hahahah [emoji16]Kwa sisi wapenda chura kama kapungua kweli atakua ametukosea sana!
Ndo nini hiki mkuu?Doncute
Wabongo nomaHata Seth wa IPTL alikuwa na kitambi na unene alio rithi kutoka kwa baba yake lakini Magufuli kamsaidi kukiondoa kile kitambi
Evance ndo nani?Shoga hata wewe wa mjini unaamini? Alienda India kwa ajili ya uzazi naona Evance anafanya kila njia amzalishe.
alaaniwe aliyesababisha jf isipatikane,mungu amjaze ukoma kunako makalio yake.like mkuuHata Seth wa IPTL alikuwa na kitambi na unene alio rithi kutoka kwa baba yake lakini Magufuli kamsaidi kukiondoa kile kitambi
Kilichonishangaza zaidi ni ndevu za Seth zilikuwa nyeusi, zimechange kuwa nyeupeDuh Kweli Jela jeraha
Mama mwenye nyumba akiwa mnene ndo hupendeza zaidi ....sio unakua kembambaaa yaaan kembamba .
Hapo kakoswa ndoa tu, ila ingenoga.
Mwanaume wake wa sasa hiviEvance ndo nani?
Kweli tena Nyau wangu , unajua nn Kanamke kembamba kwanza vinakuaga na roho mbaya, vinaongea sanaa, vinanuna nuna tu muda wote bila sababu. Vinapenda kula chips tuuuuu, nivivivu kupikaaa, yaaaan ukikakuta Nyumban ,kama we nimgeni unaweza hisi nikadada kandan kakazi, sasa unakuja kustuka ukijua ndo mama wanyumba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Utanilipa mbavu zangu nyauu
Hahahahaha sema tu unapenda kula..usisingizie wadada wa watu wa wavivuKweli tena Nyau wangu , unajua nn Kanamke kembamba kwanza vinakuaga na roho mbaya, vinaongea sanaa, vinanuna nuna tu muda wote bila sababu. Vinapenda kula chips tuuuuu, nivivivu kupikaaa, yaaaan ukikakuta Nyumban ,kama we nimgeni unaweza hisi nikadada kandan kakazi, sasa unakuja kustuka ukijua ndo mama wanyumba
Sisi kwetu ,kosea upelekee kembambaa, nambaya zaidi kawe kembamba nahakana Asili ya unene, .weeee utachekwa balaaa, alafu utajikuta unakalisha miaka nenda miaka rudi ,lkn bado Ngozi imembana.
Naww jiandae kukuta vyakula ndani ,ukishindwa kupika,utegemee chips nakuapia Utakonda ubaki mifupa [emoji23][emoji23].Hahahahaha sema tu unapenda kula..usisingizie wadada wa watu wa wavivu
Na nimeanza kua mvivu wa upishi..hahahaha..jiandae kuninunulia chips
haha african bantuNaww jiandae kukuta vyakula ndani ,ukishindwa kupika,utegemee chips nakuapia Utakonda ubaki mifupa [emoji23][emoji23].
Ujue nn, kumbatio lamwanamke mwenye minofu nangozi yakunawili huwa linakua Zuri mno.
Sasa unakuta mtu mwembambaaaa mpaka sura nayo ninyembambaaaaaa
Kabisa mkuu tena awe Bantu asiliahaha african bantu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariiiii ,duuh hahahahaUsijali atapona huo utumbo very soon na atakauka mwili kama Bi.Sandra.