Kipind kile weng tulikula shavu za operator tukiwa university sasa hivi kama huna hile CARD YA LUMUMBA na connection sahau zinatolewa kisirisiri mno.Ajira zinatolewa na wakurugenzi pamoja na Wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo,muda ukifika zitatangazwa na utaomba.Binafsi 2015 nikiwa namaliza kidato cha sita niliomba na nilipata bila refa au mtu wa kunishika mkono.
All the best!
Namba wataisoma sana....hata mimi nakumbuka nilipataga mwaka 2010...ilikuwa shavu sana kipindi kile..na ninakumbuka kupitia fedha zile nilinunua smartphone yangu ya kwanza kabisa mwaka ule...kipind kile weng tulikula shavu za operator tukiwa university sasa hivi kama huna hile CARD YA LUMUMBA na connection sahau zinatolewa kisirisiri mno.