Naumia moyo ndugu zangu

Naumia moyo ndugu zangu

Mkuu, nina biashara zangu nzuri tu, lakn naamini nikidondoka leo ntaacha ugomvi nyuma, sijui umenipata......
Unaachaje ugomvi? na hata ukitokea huo ugomvi hautakuhusu kwa sababu wewe umeshaondoka kwenye ulimwengu huu, pambana na maisha yako usilazimishe watu wawe sehemu ya maisha yako wala wewe kuwa sehemu ya maisha yao, huko ni kujitafutia matatizo kwa lazima.
 
🙏🙏🙏🙏
 
MTOTO KAPATA TISINI MAMA ANAMCHAPA MAJIRANI WANASHANGAA:

Mama: wewe Huwezi pata tisini(90) Kwa nini umeongeza sifuri kwèñye tisa.

Majirani: Kwa nini humuani Mtoto Mama Juma.
Mama: namjua huyu Mtoto. Hawezi kupata tisini. (Anaendelea kumchapa Juma)

Juma: sijaongeza sifuri Mama. Niache Mama.
Majirani: utamuumiza Mtoto. Muache.
Mama: Kwa nini unadanganya? Kwa nini uongeze sifuri ili ionekane umepata 90? (Anamfinya, Juma anapiga yowe)
Majirani: inatosha mama Juma. Subiri Juma ati ni kweli umeongeza sifuri kwèñye tisa ili íwe 90?

Juma: Hapana, Mama ananipiga bure. Mimi sijaongeza sifuri Bali niliongeza tisa Nyuma ya sifuri.

Majirani: Tobaaaa!
 
Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.

Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.

Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,

Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
Umeeleweka vizuri. Achana na wanaokubeza.
Binafsi mzee wangu alikuwa na rasilimali za kutosha tena mjini.
Alipoanza kuuza hovyo nilijaribu kumshauri aliniona sina akili kabisa.
Hata eneo alilonipa nililopanga kujenga Zahanati akaliuza.
Leo hii umekuwa ni shida upande wangu maana yeye kwa sasa pesa hana.
 
Pole sana Mkuu Enter Passcode unaweza ukawa unapambana na unapata kila kitu lakini wakati mwingine unajikuta unapata huzuni na majonzi hasa pale unapoona watu wengine wana furaha na wanashirikiana kwa upendo katika kila jambo japo hata uwezo wao wa kipato sio wa kuridhisha. Nina experience na hiyo hali Mkuu.
 
Imeniumiza sana binafsi
 
Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.

Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.

Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,

Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
Mkuu pambania maisha yako kisaokojia inaonesha Ata kiuchumi bado uko chini Sasa kama ndugu hawataki kushirikiana usiwambembeleze utakufa mapema weka focus ujijengee mizizi yako ya hela mnyw
 
Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.

Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.

Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,

Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
= katili

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ukiwa unakua au umeshakua MTU mzima kuna wale ndugu mnazaliwa pamoja huitwa (relatives au siblings)

Pia kuna family .

Watu ambao umewatafuta wewe na wakawa sehemu ya maisha yako hao tunawahita family.

Mfano katika harakati zako za utafutaji umekutana na MTU mmejenga urafiki na kuanza kushirikiana Karina utafutaji basi hao wanaitwa family na sio relative .

Hivyo usimlaumu ndugu yako yeyote kuhusu maisha yako Ila wewe tengeneza familia yako and you will enjoy .

Ndugu anaweza kuwa sehemu ya familia yako endapo tu akifanikiwa kuendana na wewe perfectly.

Hivyo wewe Kama umeshatengeneza familia yako basi usilaumu ndugu zako kuhusu kukosa unity n.k.
 
Mkuu, nina biashara zangu nzuri tu, lakn naamini nikidondoka leo ntaacha ugomvi nyuma, sijui umenipata......
Wewe weka data za Mali zako na warithi km unaogopa Nini kitatokea ukiondoka.
Na pia ukishaondoka hutajua kinachoendelea,don't stress yourself.
Yaani kwenye haya maisha Ni kusali na kupambana then relax
 
Back
Top Bottom