Naumia moyo ndugu zangu

Naumia moyo ndugu zangu

Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.

Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.

Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,

Niasaidieni, kifua kimekaba hatari๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tafuta kijana mzee wenu yupo sawa tatzo lako unataka mali zake me napenda kijana nimsaidie pale alipoishia hivyo hivyo na na mzee wako ukipewa tu vya Bure utaenda kuhonga
 
Kuna jamaa huko kijijini nina cha kujifunza kwakwe. yeye kijana akisoma na kumaliza form 4 kama hana nia ya
kuendelea na kusoma huwa anawatimua kabisa nyumbani.
anausemi kuwa hawa watoto hushirikiana na mama zao kukuua. hii naamini kwa akili ya mtoa uzi hadi analia kisa mafanikio ya babake! hufai
 
Pole sana Mkuu Enter Passcode unaweza ukawa unapambana na unapata kila kitu lakini wakati mwingine unajikuta unapata huzuni na majonzi hasa pale unapoona watu wengine wana furaha na wanashirikiana kwa upendo katika kila jambo japo hata uwezo wao wa kipato sio wa kuridhisha. Nina experience na hiyo hali Mkuu.
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ mkuu pamoja na kwamba sikujui, ila kuna namna unakujaga kichwani mwangu
 
Dunia ya kibepari haina ndugu wala rafiki watu ukiwapa nafasi wanakushangaza vizuri kabisa. Kama unajenga misingi kwa familia ijenge tu. Familia nyingine haziungani mana kuna baadhi ya ndugu tumbo moja hawana sifa ya kuhurumiana wao kwa wao
Hii inawahusu familia za kina Mo na SSB au sisi tu weusi?
 
Mkuu, nina biashara zangu nzuri tu, lakn naamini nikidondoka leo ntaacha ugomvi nyuma, sijui umenipata......
Unajichanganya hueleweki. Awali umesema unaishi kwa shida, tena unajibu kuwa una biashara nzuri tu. Fafanua.
 
Angalau moto umetoka kifuani๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Pambana katika huu ulimwengu kuna watu wamezaliwa wakiwa hawana hata ndugu na wazazi wao walikuwa baada ya wao kuzaliwa tu / wengine Wazazi walikufa baada ya nchi zao kuingia vitani wakabaki wakiwa hawana ndugu wala Jamaa but still hawaja kata Tamaa na wapo waliopambana na wakafanikiwa Tambua kwamba dunia haina huruma na Mtu

Pambana
 
= katili

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Acha ujuaji katika kila jambo Mtu anapitia katika nyakati ngumu badala ya kutafuta njia njema ya kumshauri ndio kwanza Una mkandamiza Kwa kutumia udhaifu wake wa uandishi kosa ambalo halina hata msingi wowote ule katika hii thread

Kuna wakati uwe unaonyesha ukomavu wa akili hata kidogo basi period
 
Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.

Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.

Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,

Niasaidieni, kifua kimekaba hatari๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Born alone die alone mamen ukisubili ushilikiane na ndugu wewe ni tatizo
 
Back
Top Bottom