Naumia moyo ndugu zangu

Tafuta kijana mzee wenu yupo sawa tatzo lako unataka mali zake me napenda kijana nimsaidie pale alipoishia hivyo hivyo na na mzee wako ukipewa tu vya Bure utaenda kuhonga
 
Kuna jamaa huko kijijini nina cha kujifunza kwakwe. yeye kijana akisoma na kumaliza form 4 kama hana nia ya
kuendelea na kusoma huwa anawatimua kabisa nyumbani.
anausemi kuwa hawa watoto hushirikiana na mama zao kukuua. hii naamini kwa akili ya mtoa uzi hadi analia kisa mafanikio ya babake! hufai
 
πŸ™πŸ™πŸ™ mkuu pamoja na kwamba sikujui, ila kuna namna unakujaga kichwani mwangu
 
Dunia ya kibepari haina ndugu wala rafiki watu ukiwapa nafasi wanakushangaza vizuri kabisa. Kama unajenga misingi kwa familia ijenge tu. Familia nyingine haziungani mana kuna baadhi ya ndugu tumbo moja hawana sifa ya kuhurumiana wao kwa wao
Hii inawahusu familia za kina Mo na SSB au sisi tu weusi?
 
Mkuu, nina biashara zangu nzuri tu, lakn naamini nikidondoka leo ntaacha ugomvi nyuma, sijui umenipata......
Unajichanganya hueleweki. Awali umesema unaishi kwa shida, tena unajibu kuwa una biashara nzuri tu. Fafanua.
 
Angalau moto umetoka kifuaniπŸ™πŸ™πŸ™
Pambana katika huu ulimwengu kuna watu wamezaliwa wakiwa hawana hata ndugu na wazazi wao walikuwa baada ya wao kuzaliwa tu / wengine Wazazi walikufa baada ya nchi zao kuingia vitani wakabaki wakiwa hawana ndugu wala Jamaa but still hawaja kata Tamaa na wapo waliopambana na wakafanikiwa Tambua kwamba dunia haina huruma na Mtu

Pambana
 
= katili

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Acha ujuaji katika kila jambo Mtu anapitia katika nyakati ngumu badala ya kutafuta njia njema ya kumshauri ndio kwanza Una mkandamiza Kwa kutumia udhaifu wake wa uandishi kosa ambalo halina hata msingi wowote ule katika hii thread

Kuna wakati uwe unaonyesha ukomavu wa akili hata kidogo basi period
 
Born alone die alone mamen ukisubili ushilikiane na ndugu wewe ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…