Naumia, nami ni binadamu

Naumia, nami ni binadamu

Hahahahahaha nyete alikuja kuwatapeli watu hapa walituma pesa balaa....

Alimpost dogo mmoja hivi ameungua moto yupo lugalo... Akafake ye ndo maza wa mtoto kisha akaomba msaada wa pesa za matibabu heheheheheh watu wakatuma

Salaleeew kumbe mwizi
The smartest tapeli jamaa alikuwa noma sikuijua iyo issue kwakweli.
 
Naona limekugeukia.
Eti u know for her healthy sake please

Uliambiwa nlikua naumwa maini au mapafu.
Babu naumwa vidole mguuni..
Siku nyingine tuliza hizo p zako umbea na kujishuku waachie wadada..

Eti let's call it off man...she needed mercy from the people...

I need mercy from who?..
We ndo usiehitaji huruma na skendo ya kukopa na kukimbia madada jf?

Safi aggy hakuna kuogopa mwanaume humu
Na pesa hakuna kurudisha na ukitaka msaada tutachanga wala usiogope

Yeye ndio ajihurumie maana ana life ban kwa id yake ile nyingine kwa tuhuma zake ye mwenyewe makando kando mengi
 
Toba toba toba kukopa na kukimbia madeni tena

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Loh..humu kila mtu ana yake..
Tunabebana hivo hivo maisha yaende..
Ilivuma sana halafu jamaa alivo kauzu anajichanganya kama kawaida
Skendo ya pili ni umbea.usimwambie kitu kitafika mahali bila kutarajia.

Ni mbea mbea sana..hadi wenzangu kibao wanamjua humu wanamuogopa ka ukoma
Sasa hili langu kajishuku huyo mbio kwa pm za watu loh!
 
Hahaha..kazana kuita mod
Mfitini kashapatikana shughuli imeisha
Loh!
Safi aggy hakuna kuogopa mwanaume humu
Na pesa hakuna kurudisha na ukitaka msaada tutachanga wala usiogope

Yeye ndio ajihurumie maana ana life ban kwa id yake ile nyingine kwa tuhuma zake ye mwenyewe makando kando mengi
 
Loh..humu kila mtu ana yake..
Tunabebana hivo hivo maisha yaende..
Ilivuma sana halafu jamaa alivo kauzu anajichanganya kama kawaida
Skendo ya pili ni umbea.usimwambie kitu kitafika mahali bila kutarajia.

Ni mbea mbea sana..hadi wenzangu kibao wanamjua humu wanamuogopa ka ukoma
Sasa hili langu kajishuku huyo mbio kwa pm za watu loh!
Jamani hivi humu wengine tupo nanjirinji wengine chato, wengine sumbawanga, wengine kusikojulikana huko inakuwaje yanatokea mambo ya fitina... Uzushi.. As if tunakaa mtaa mmoja?
 
Haki nimecheka kizulu leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaaaah!!!

Aggy nisamehe tu mie niache nicheke jamani khaaah!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tungekaa physical hii jamii sijui ingekuaje
Jamani hivi humu wengine tupo nanjirinji wengine chato, wengine sumbawanga, wengine kusikojulikana huko inakuwaje yanatokea mambo ya fitina... Uzushi.. As if tunakaa mtaa mmoja?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nawaita hawataki labda saidia we kaka angu na hilo jina lako sasa mwee
Usishangae wakaja na ban kisa jina langu. au nao wamenogewa na kinachoendelea humu wanafuatilia comments tu.
 
Back
Top Bottom