Naumia, nami ni binadamu

Naumia, nami ni binadamu

Hahahahahaha nyete alikuja kuwatapeli watu hapa walituma pesa balaa....

Alimpost dogo mmoja hivi ameungua moto yupo lugalo... Akafake ye ndo maza wa mtoto kisha akaomba msaada wa pesa za matibabu heheheheheh watu wakatuma

Salaleeew kumbe mwizi
Nyete alifanyaje jamani maarufu kweli humu [emoji851][emoji851][emoji13]
 
Binadam tumefanana nywele tu ingawa zina rangi tofaut nyingine nyeupe nyingine nyeusi ila kwa mawazo kila mtu anaakili yake Pole Sana ndugu
 
Shost ila ulichonifanyia Sawa tu nakwambia najua wewe ni pacha wangu yan jiran kama sikosei
Eeeeeh jamani mbona nasutwa tena mebidi niwe mpole...

Demiss jamani nimefanya nini
 
Unawezaje kumtungia mtu uongo wewe.?
Halafu uongo mzito kama hivo ambao umedamage urafiki wangu na ngabu?

Mie na ngabu tulikia sawa kabisa.I treated him like my brother with all respect,na yeye pia hivo hivo.
Sikutarajia siku unaweza kuwa hivi

Ila wewe kidudu mtu chakubanga wa kiume ulokosa la kufanya..

Baada ya yeye kuuliza ulowaambia huko wamekugeuzia kibao unakuja unadai umetunga...

Ntadeal na wewe!
Nilitunga mkuu, kuna mahali nimekwambia sijawasiliana na Aggy kuhusiana na hiyo issue.

Watu unaowasema hawawezi kukuthibitishia chochote juu ya kwamba taarifa nilizotoa kwa Aggy.

Ongea vizuri na hizo source, ilikuwa something like brainstorming, A + B and then ikafikiwa kama hitimisho kati yetu kwamba issue inaweza kukuhusu.

I hope hutaki niziweke hapa hizo ABCs ambazo zinahusiana na hii issue.

Niseme tu kwamba hii issue Aggy alifikia sehemu akaachana nayo.

Bosi, we can all do good kwa kutoiendeleza hii kitu, lakini ukipenda naweza kukuwekea clues zote zilizohusisha hii ikawa concluded kwamba unaweza kuwa ni wewe uliyezungumziwa (of which I am 100% sure).

Na I sided with her kumshauri Aggy kwamba aachane na hiyo issue kwa sababu siyo nzuri kwake.
 
Eti oooh unadhalilika kwa kipi anajifanya kukuhurumia unafiki mtupu ajishauru kwanza yeye naona anakukandamiza hakandamiziki mtu hapa aggy kaa mbali na huyu mtu anajifanya mshauri wakati anapuliza na kuchoma

Sijaona kosa lako aggy huna kosa hapa zaidi ya uchonganishi tu nishakuambia case closed

Don Muache huyu binti mmezoea kuonea wanawake mtu asiandike uzi mshajishuku aggy yupo msafi hana kosa lolote zile nyuzi aliandikwa mtu mwingine kabisa
Nlikua nasoma tu sifa zake. Kila hapa loh!kanionesha rangi yake halisi

Ile Uzi wanawake walikua kibao.kila ye mtoto wa kiume mbio mbio kashamjua anaetajwa..

Huyu atakua kakulia na Dada watupu.hizi tabia hapana
 
Back
Top Bottom