Hehehe sasa me na ubuyu si vitu viwil tofauti
Hahahaa mimi ni beberu
Don umetolewa kafara,watu wazima tumeelewa!.
Ndo usiwe mwepesi wa kupeleka taarifa,ona sasa wambeya wa kweli wanacheka watsap!
That's very RICH coming from YOU.Yaan upo kama mm...!kumbe humu kun watoto namna hii??mie marafiki nilionao kwanza siwaoni MMU..au la nna marafiki wazee😂😂😂...!nahofia nikisrma ni kukosa kqzi ya kufanya au ni mazoea ya ajabu ajabu na watu wa ajabu
HahaaSafi sana manengelo ukweli usemwe tu
Haaha aiseeDon mie huwa nakuona smart..ila niwe mkweli..nakwazika sana na hii tabia ya kuingia kwenye malumbano na wanawake ...unakumbuka niliwah kukualert pm..ulisemwa weee samahan..hv ww huna marafiki wakiume?nisamehe kukuhukumu!...au ww bado mtoto mtoto sana?hufananii na misuto ya jf bwana wee!
Hahaaa hivi huu uzi ulikua unahusu nnYaan upo kama mm...!kumbe humu kun watoto namna hii??mie marafiki nilionao kwanza siwaoni MMU..au la nna marafiki wazee[emoji23][emoji23][emoji23]...!nahofia nikisrma ni kukosa kqzi ya kufanya au ni mazoea ya ajabu ajabu na watu wa ajabu