Naumia, nami ni binadamu

Naumia, nami ni binadamu

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Mmmh
Don umetolewa kafara,watu wazima tumeelewa!.

Ndo usiwe mwepesi wa kupeleka taarifa,ona sasa wambeya wa kweli wanacheka watsap!
 
Aisee mi kama ni mmoja wao naomba usinirudishie, amini amini nakuambia, hata mke wangu hajui kama nilitoa sadaka
 
Don mie huwa nakuona smart..ila niwe mkweli..nakwazika sana na hii tabia ya kuingia kwenye malumbano na wanawake ...unakumbuka niliwah kukualert pm..ulisemwa weee samahan..hv ww huna marafiki wakiume?nisamehe kukuhukumu!...au ww bado mtoto mtoto sana?hufananii na misuto ya jf bwana wee!
Haaha aisee
 
Yaan upo kama mm...!kumbe humu kun watoto namna hii??mie marafiki nilionao kwanza siwaoni MMU..au la nna marafiki wazee[emoji23][emoji23][emoji23]...!nahofia nikisrma ni kukosa kqzi ya kufanya au ni mazoea ya ajabu ajabu na watu wa ajabu
Hahaaa hivi huu uzi ulikua unahusu nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom