Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nimejibana sana nisiandike kitu kwenye hii thread.
Nahisi nitakuwa upande tofauti sana.
Thank you for this useful post.
Don mie huwa nakuona smart..ila niwe mkweli..nakwazika sana na hii tabia ya kuingia kwenye malumbano na wanawake ...unakumbuka niliwah kukualert pm..ulisemwa weee samahan..hv ww huna marafiki wakiume?nisamehe kukuhukumu!...au ww bado mtoto mtoto sana?hufananii na misuto ya jf bwana wee!