Naumia, nami ni binadamu

Naumia, nami ni binadamu

Nimejibana sana nisiandike kitu kwenye hii thread.

Nahisi nitakuwa upande tofauti sana.

Thank you for this useful post.

Don mie huwa nakuona smart..ila niwe mkweli..nakwazika sana na hii tabia ya kuingia kwenye malumbano na wanawake ...unakumbuka niliwah kukualert pm..ulisemwa weee samahan..hv ww huna marafiki wakiume?nisamehe kukuhukumu!...au ww bado mtoto mtoto sana?hufananii na misuto ya jf bwana wee!
 
[emoji2][emoji2] hukopeshi
 
Nimeshatoa maelezo kwa kirefu hapo juu..kaangalie.
Pia kamtaja don't.son nae kakanusha
In short huyo mwanaume ni mwingine kabisa.sijawahi kuwaza mapenzi na huyu jamaa na haiwezi tokea kamwe..

Hebu fikiria mwenyewe..sina namba ya MTU,sina habari nae karibu mwaka mzima,sijui yuko wapi,halafu unakuja hapa naandika ohh ananikalia kimya,WhatsApp yangu hajibu,naumomba aje nyumbani hataki..
Hivi mi ni taahira niandike haya?

Halafu wewe mwanaume na akili zako timamu inaaminije maneno ya kuambiwa?bila kuyachunguza na kuthibitisha unayabeba unayageuza ukweli...huu ni upunguani!

Halafu siku inafika unaamua kuyatua.muhusika anajiuliza hiki ni nini?
Yani ni false occusation kwa asilimia mia.unakazana kubwabwajaa...huu ndo uendawazimu.

Kama ye mwanaume kweli anageniface hata pale mbele ya watu kwenye thread nami ningempa ukweli kuwa sio yeye.
Au angekuja hata pm ningemtajia yote.
Mwambie

Aggy...ule uzi.ulikua unamsema nyani??
au niulize hv..huyu nyan ashawahi kukusaidia??ww jibu tuondoe lawama
SS
 
Nimeshatoa maelezo kwa kirefu hapo juu..kaangalie.
Pia kamtaja don't.son nae kakanusha
In short huyo mwanaume ni mwingine kabisa.sijawahi kuwaza mapenzi na huyu jamaa na haiwezi tokea kamwe..

Hebu fikiria mwenyewe..sina namba ya MTU,sina habari nae karibu mwaka mzima,sijui yuko wapi,halafu unakuja hapa naandika ohh ananikalia kimya,WhatsApp yangu hajibu,naumomba aje nyumbani hataki..
Hivi mi ni taahira niandike haya?

Halafu wewe mwanaume na akili zako timamu inaaminije maneno ya kuambiwa?bila kuyachunguza na kuthibitisha unayabeba unayageuza ukweli...huu ni upunguani!

Halafu siku inafika unaamua kuyatua.muhusika anajiuliza hiki ni nini?
Yani ni false occusation kwa asilimia mia.unakazana kubwabwajaa...huu ndo uendawazimu.

Kama ye mwanaume kweli anageniface hata pale mbele ya watu kwenye thread nami ningempa ukweli kuwa sio yeye.
Au angekuja hata pm ningemtajia yote.
Mwambie

SS

Basi hapa hakuna kesi...
 
Amesema aggy aliwasiliana na don c kwenye pm...huenda don ndo alimwambia ngabu[emoji126][emoji126]
Nakumbuka..bas mie sikua najua hayo ya bima..nilisimamia tu kiutu uzima..mtu hujawah muona iweje upanick vile uwii..hatari .labda kuna mengune hatujui
Sielewi una nia ya kumaliza huu ui au kuuendeleza.maana anaeabika huyo mwenzio.kama unaweza mwambie basi amtaje huyo mtoa taarifa wa pili then nae aitwe akiri au akanushe thread ifungwe.
 
Don mie huwa nakuona smart..ila niwe mkweli..nakwazika sana na hii tabia ya kuingia kwenye malumbano na wanawake ...unakumbuka niliwah kukualert pm..ulisemwa weee samahan..hv ww huna marafiki wakiume?nisamehe kukuhukumu!...au ww bado mtoto mtoto sana?hufananii na misuto ya jf bwana wee!

Safi sana manengelo ukweli usemwe tu
 
Nimeshatoa maelezo kwa kirefu hapo juu..kaangalie.
Pia kamtaja don't.son nae kakanusha
In short huyo mwanaume ni mwingine kabisa.sijawahi kuwaza mapenzi na huyu jamaa na haiwezi tokea kamwe..

Hebu fikiria mwenyewe..sina namba ya MTU,sina habari nae karibu mwaka mzima,sijui yuko wapi,halafu unakuja hapa naandika ohh ananikalia kimya,WhatsApp yangu hajibu,naumomba aje nyumbani hataki..
Hivi mi ni taahira niandike haya?

Halafu wewe mwanaume na akili zako timamu inaaminije maneno ya kuambiwa?bila kuyachunguza na kuthibitisha unayabeba unayageuza ukweli...huu ni upunguani!

Halafu siku inafika unaamua kuyatua.muhusika anajiuliza hiki ni nini?
Yani ni false occusation kwa asilimia mia.unakazana kubwabwajaa...huu ndo uendawazimu.

Kama ye mwanaume kweli anageniface hata pale mbele ya watu kwenye thread nami ningempa ukweli kuwa sio yeye.
Au angekuja hata pm ningemtajia yote.
Mwambie

SS

Imetosha kujieleza

Case closed
 
hii ni mara ya 2 deo anaingia kwenye majanga haya. kuna uzi nikaamuaga kumtetea mods wakaufuta..nilikwazika..kisa kaomba hela wakamtangaza anaomba omna..kwann usijiepushe na magenge ya aina hii jaman??au ww unaonaje best..!khaa..
Kila mtu na tabia yake yaani tu kuna watu wapo hivyo. Ni kumuacha kama inampa raha. Ila kulumbana mara kwa mara sio issue
 
Back
Top Bottom