Naumia, nami ni binadamu

Naumia, nami ni binadamu

Umeolewa mama...?Nauliza tu jamani nijue

@Hannah
Agy pole. Ila ngoja nikushauri nikupe ushauri tofauti.
Yawezekana hawakufanyii makusudi, kupishana huku jukwaani ni kawaida sana. Kujibiana shombo ni kawaida sana. Sasa pengine wewe unahisi wanafanya hivo kwa sababu wamekusaidia.

Na hata kama wapo wanaofanya hivyo labda ni mmoja au wawili pasikufanye ukaona watu wote 10+ wanakufanyia hivyo.

Kuhusu kuwalipa, hauwezi kuwalipa kabisa. Nakazia kwamba HAUWEZI KUWALIPA KAMWE. kwa sababu ile sio hela tuu walikupa Bali walikufanyia WEMA, WALIKUINUA KIPINDI UMEANGUKA, WALIKUFANDILI. Hela utawapa lakini hela sio kitu , Fadhila walizokutendea hauwezi kuzirudisha kwa sababu hazirudishwi kwa pesa.

Usizire. Muombe Mungu akupe uvumilivu na ujasiri. Na pia jaribu kuishi kama hamna kilichotokea.

Watu waliokufanyia WEMA lazima wanajisikia vibaya kwa hivi unavyoviandika, mara utawarudishia, Mara unawajua wote. Kila mtu anaweza akawa anahisi unamwona adui kisa alikusaidia.

Kosa la mtu mmoja au wawili lisikufanye uone watu wote waliokusaidia wanakunyanyasa.
 
Aisee.!!Umeongea point kubwa sana..

Kiukweli umenigusa kwa maneno yako ya busara!!!
 
Pole saana ila kumbuka Wema haulipwi hata siku moja, hayo mengine chukulia kama mapungufu tu yakibinadamu kama ulivyosema hata ww unajua unamapungufu yako ya kibinadamu... Jah bless u queen
 
Agy pole. Ila ngoja nikushauri nikupe ushauri tofauti.
Yawezekana hawakufanyii makusudi, kupishana huku jukwaani ni kawaida sana. Kujibiana shombo ni kawaida sana. Sasa pengine wewe unahisi wanafanya hivo kwa sababu wamekusaidia.

Na hata kama wapo wanaofanya hivyo labda ni mmoja au wawili pasikufanye ukaona watu wote 10+ wanakufanyia hivyo.

Kuhusu kuwalipa, hauwezi kuwalipa kabisa. Nakazia kwamba HAUWEZI KUWALIPA KAMWE. kwa sababu ile sio hela tuu walikupa Bali walikufanyia WEMA, WALIKUINUA KIPINDI UMEANGUKA, WALIKUFANDILI. Hela utawapa lakini hela sio kitu , Fadhila walizokutendea hauwezi kuzirudisha kwa sababu hazirudishwi kwa pesa.

Usizire. Muombe Mungu akupe uvumilivu na ujasiri. Na pia jaribu kuishi kama hamna kilichotokea.

Watu waliokufanyia WEMA lazima wanajisikia vibaya kwa hivi unavyoviandika, mara utawarudishia, Mara unawajua wote. Kila mtu anaweza akawa anahisi unamwona adui kisa alikusaidia.

Kosa la mtu mmoja au wawili lisikufanye uone watu wote waliokusaidia wanakunyanyasa.

Nimejibana sana nisiandike kitu kwenye hii thread.

Nahisi nitakuwa upande tofauti sana.

Thank you for this useful post.
 
Mkuu pole sana kwa changamoto za maisha..mimi nawashauri usiwalipe hata mia hao vidomodomo, kama wanalalama muende tu mkutane mahakamani!
 
Pole sana. Binadamu tumeumbwa kusema liwe zuri hata baya tutasema.
IMG-20170910-WA0092.jpeg
 
Pole Sana Dada kwa ayo unayo pitia ukiona Giza nene ujue asubuh kumekaribia usiumizwe na watu kumbuka thamani yako ni kubwa kwa Mungu na sio kwa Mungu pekee ata kwa sisi marafiki zako wengine wa jf jipe moyo utashinda na maumivu yako ni yetu sote kumbuka watu wanatofautiana na jf ni pori kuna mbwa,nyoka ,fisi na mashetan pia ayakosi ata usijali kuhusu huo mchango kidogo wa Bima ni wajibu wetu chini ya jua kusaidiana ktk safar hii ya dunian jipe moyo na kua na iman bado kitambo yote yataisha tu.
 
Back
Top Bottom