Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nilishawahi kulisema hili kwamba litaelekea huku.
Naamini aggyjay anakumbuka comments zangu kwenye uzi wake ulioibua haya yote.
Nakumbuka kusoma nasaha zako zile.
Kipindi hicho nilikuwa likizo hapa JF.
Huyu mwanzishaji wa hii mada alianzisha mada mbili.
Ya kwanza ilikuwa kumhusu ‘bebi’ wake ambaye alikuwa hapokei simu zake, nk.
Ya pili ikawa ni mrejesho wa hiyo mada ya kwanza.
Hiyo mada ya kwanza hakumtaja huyo mtu. Lakini kwa jinsi alivyoandika ni zuzu tu ambaye asingeng’amua kuwa ni mtu yupi aliyekuwa anazungumziwa.
Baada ya hiyo mada kuanzishwa na watu kuanza ku guess mhusika ni nani, nikaanza kutafutwa nje ya JF.
Nikaanza kuulizwa ‘we Ngabu umemfanya nini huyo mtu?’ Maana anakuongelea huko JF.
Nikashangaa sana. Ananiongelea huko JF kwa lipi? Kuja kusoma nikabaki nashangaa tu.
Maana mimi sina uhusiano naye. Sijawahi kuwa na uhusiano naye. Sasa iweje awe ananizungimzia mimi?? Sipokei simu zake zipi ilhali hata namba yangu ya simu hana? Nikabaki nashangaa tu.
Baadaye nikatafutwa tena na nikapewa uhakikisho kuwa ni kweli huo uzi ulikuwa unanihusu mimi.
Supposedly, huyo mwanzisha uzi sijui uliwasiliana naye na aka confirm kwako kuwa ni kweli huo uzi wake ulikuwa umenilenga mimi.
Nikapotezea tu kwa sababu hakukuwa na ukweli wowote ule. Zaidi ya kumsaidia tu kiubinadamu, mimi sijawahi kabisa kuwa na uhusiano naye kimapenzi kama alivyoelezea yeye.
Sasa imagine mtu umemsaidia, tena siyo mara moja, halafu anakuja anakuzushia mambo ya ajabu ajabu kabisa yasiyo na mbele wa nyuma.
Nikam- cancel. Nikampuuza kama mwendawazimu.
Sasa naona hapa analalamika. Analalamika nini wakati ulimuonya kipindi kile kuwa this will not end well for her?
Dish limeyumba huyo.
Unless aje akiri hapa kuwa hakuwa ananizungumzia mimi, otherwise I stand by everything I’ve said.