Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Ya ngoswe tuyaache dear...Soon baada ya kusoma hii story nikajikuta namuonea huruma mtu mwenye matatizo yanayoitaji msaada ila nimejiuliza how comes unampa mtu msaada afu then unatumia kama tool Kum drive, no, is not fair at all. Lakini kadri post zinavyozidi kutiririka unaona kuna cha zaidi. Anyway tuache hayo cha msingi ni kuvumiliana na kupokeana kwa hali tulizo nazo. Kuishi, kusahau, kuheshimiana na kupendana.
Nakuhamu mhenga