Naumia, nami ni binadamu

Naumia, nami ni binadamu

Hii mbona chamtoto...aliwah funguliwa uzi eti wakawa wanasrma anaomba omba mno hela kwa mademu wa jf..uliza sasa hela yenyewe. 10k..!nikashindwa vumilia..alafu 98%wanaume wakawa wanamnyamba..hakuna alomtetea zaid yangu mm na id fulan hv siku hiz siion..suddenly uzi ukafungwa!yaan inaboa! mie ndo maana nna marafiki weng me zaid..eish!tena smart!

Manengelo unataka yalipuke upya nini wasojua wasijue bana

Yulee nanii alitufanya tukapigwa ban nae ni smart kumbe[emoji13][emoji13]
 
Hii mbona chamtoto...aliwah funguliwa uzi eti wakawa wanasrma anaomba omba mno hela kwa mademu wa jf..uliza sasa hela yenyewe. 10k..!nikashindwa vumilia..alafu 98%wanaume wakawa wanamnyamba..hakuna alomtetea zaid yangu mm na id fulan hv siku hiz siion..suddenly uzi ukafungwa!yaan inaboa! mie ndo maana nna marafiki weng me zaid..eish!tena smart!
Aisee hii kali
 
Back
Top Bottom