Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ha haaa haya bwana. Rudi siasani huko tuachie MMU yetuhahahaa linarudi halina hamu..unalilewesha madawa kbs ya kulevya...unalipachika magunzi makalioni mie huyooo[emoji126][emoji126][emoji126]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa haya bwana. Rudi siasani huko tuachie MMU yetuhahahaa linarudi halina hamu..unalilewesha madawa kbs ya kulevya...unalipachika magunzi makalioni mie huyooo[emoji126][emoji126][emoji126]
Kakoma teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Namchora tu mama ushauri hebu akae mbali kidogo
hahahaa linarudi halina hamu..unalilewesha madawa kbs ya kulevya...unalipachika magunzi makalioni mie huyooo💃💃💃
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] AfadhaliKakoma teh
Icho kimasai au?Nalekaga bhabha
Hii mbona chamtoto...aliwah funguliwa uzi eti wakawa wanasrma anaomba omba mno hela kwa mademu wa jf..uliza sasa hela yenyewe. 10k..!nikashindwa vumilia..alafu 98%wanaume wakawa wanamnyamba..hakuna alomtetea zaid yangu mm na id fulan hv siku hiz siion..suddenly uzi ukafungwa!yaan inaboa! mie ndo maana nna marafiki weng me zaid..eish!tena smart!
Manengelo unataka yalipuke upya nini wasojua wasijue bana
Yulee nanii alitufanya tukapigwa ban nae ni smart kumbe[emoji13][emoji13]
Hujambo na raha zako???Ha haaa umejifanya mpatanishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nisamehe shost..!hahaa...kumbe na ww ulikuwemo mle[emoji28][emoji28]...usiniite tena humu bwana
Kwaheri twende tukashangae vera Sidika
Mkishatekana msirudi tafazaliShoga nimeacha..sijui kitu..najuutraa!nahamishia stress zangu jukwaa la siasa..kule ndo hom
Aisee hii kaliHii mbona chamtoto...aliwah funguliwa uzi eti wakawa wanasrma anaomba omba mno hela kwa mademu wa jf..uliza sasa hela yenyewe. 10k..!nikashindwa vumilia..alafu 98%wanaume wakawa wanamnyamba..hakuna alomtetea zaid yangu mm na id fulan hv siku hiz siion..suddenly uzi ukafungwa!yaan inaboa! mie ndo maana nna marafiki weng me zaid..eish!tena smart!
Aisee hii kali
Sikuona hiyo mada 😀😀😀😀uliiona au hukuwpo??ilikua muda kidg lakini..last yr nadhan
Hahahaahahahahahahaaha!Hahahahahaha, usimfanyie hivyo mkuu, kumbe ni wewe bora umejitaja...jokes!!!!