Naumia sana kuona vipaji vikubwa vinafia Simba kwa kusugua benchi tofauti na watani, sio sawa hata kidogo!

Acha kukalili ujinga asee... Fei kakaa muda gani?, Mudathiri amekaa muda gani mbona walifika kwenye timu zao wakapata namba?. SEMA kocha ni mbovu na haamini anachokifanya, mnafanya wachezaji kuwa wafalme.
 
Nakazia
 
Ukiona choo ndotoni usikitumie. Robertinho alijaribu kufanya rotation nusu fainali na Azam kilicho mkuta ni fedheha, hawezi kurudia. Acha wacheze hivo hivo mpaka cylinder head zipanuke engine zianze kuchemsha tukikutana nao tuwanyooshe
 
Tunahitaji kumwona Muhammed Juma akicheza.
Sio kumpigia kampeni Moses Phili tu tuwakumbuke na wazawa.

Muhammed Juma kipaji chake kinajulikana wazi kuwa ni mshambuliaji mzuri na bado kinda kabisa.

Hatutaki atolewe kwa mkopo popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…