Naumia sana Mbowe kuwekwa ndani huu uonevu utaisha lini?

Naumia sana Mbowe kuwekwa ndani huu uonevu utaisha lini?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Kwa nini wambambikie kesi za uwongo Freeman Mbowe? Mtanzania mwenzako mnamtesa kisa he's practicing his political rights to express his opinion pertaining issues concerning national importance.

Why kumuonea mtu na kumweka ndani kisa tu kulinda madaraka zenu.

Muacheni huru Mara moja Mbowe la sivyo naingia chumba cha maombi kuwashtaki kwa
Mungu nikitoka tu shauri yenu.

Naumia hadi nashindwa hadi kula. My daily activities has been tempered by these senseles atrocities.

Toka uhuru mmeshindwa kudeliver ni porojo tu hamna vishen. Mnaanzisha tozo uchwara za kisoro eti barabara na maji vijijini WTF.

Mlipokuwa mna bugia na kulamba meremeta, Escrow, EPA, Dowans, 1.5 trillions etc mkuwaza hayo maji na barabara toka 1961.

Niueni mkitaka siwaogopi Niueni sasa come on i challenge you come and kill me and remain with your world.

You think the world revolves around you and you breathe flavored oxygen?

Come on come and finish me off. Better die than continue sharing the same world with this people.

Come on and finish me off.

Tumechoka

9549929.jpg
 
Mkuu; ccm inafanya jambo jema sana bila wao kujua wala sisi.
Natamani wazidishe uone.
Watuonee hadi tuchoke, tuchukie wote.
Mwanadamu akichukizwa hufanya mabadiliko.
1. Walianza na Lissu...tuna akiba ya chuki
2. Wakawafunga viongozi...tuna chuki
3. Wakaiba uchaguzi ...tuna chuki
4. Wamemsingizia Mbowe
....
Waongeze chuki, watuudhi sana, tozo isifutwe, tena hata barabara wasizijenge si mazahanati nk..wao wapae angani kila siku.

Mkuu siku yaja, tutajikuta vyama vyote hadi cvm baadhi yao tutaungana kuleta mabadiliko.

Wanajiona wajanja lkn siku INAKUJA
 
😁😁😁😁mwiteni Kamanda mdude yeye ndiye mwenye wembe wa kunyolea.
 
Mi nikajua unakuja kutueleza Kwanini ahusiki na izo tuhuma kumbe umekuja kupiga piga kelele kwa maandishi.

Alafu usihusishe kifo na vitu vya kijinga, kama unataka kufa si ule tu sumu ya panya ya jero uende zako.
 
Mbona mwanzo wa mwaka alikuwa amepoa kama vile hayupo? Hizo haki anazopigia makelele hazikuwepo? Kila jambo liwe na kiasi sio kumjaribu rais kisa ni mpya mpaka inaonekana sasa ni dharau.

Sifurahii kuwekwa ndani au kubambikiwa makosa yasiyoeleweka, ila kama kweli anakuwa na nia ya dhati ya anachopigia makelele, angekwenda mahakamani kuushitaki huu mfumo ili ufanyiwe marekebisho. Mbona Mtikila alikuwa akishinda mahakamani dhidi ya Jamhuri?
 
Mzuka wanajamvi!

Kwa nini wambambikie kesi za uwongo Freeman Mbowe? Mtanzania mwenzako mnamtesa kisa he's practicing his political rights to express his opinion pertaining issues concerning national importance.

Why kumuonea mtu na kumweka ndani kisa tu kulinda madaraka zenu.

Muacheni huru Mara moja Mbowe la sivyo naingia chumba cha maombi kuwashtaki kwa
Mungu nikitoka tu shauri yenu.

Naumia hadi nashindwa hadi kula. My daily activities has been tempered by these senseles atrocities.

Toka uhuru mmeshindwa kudeliver ni porojo tu hamna vishen. Mnaanzisha tozo uchwara za kisoro eti barabara na maji vijijini WTF.

Mlipokuwa mna bugia na kulamba meremeta, Escrow, EPA, Dowans, 1.5 trillions etc mkuwaza hayo maji na barabara toka 1961.

Niueni mkitaka siwaogopi Niueni sasa come on i challenge you come and kill me and remain with your world.

You think the world revolves around you and you breathe flavored oxygen?

Come on come and finish me off. Better die than continue sharing the same world with this people.

Come on and finish me off.

Tumechoka

View attachment 1887748
Mbowe should Retire
 
Back
Top Bottom