Naumia sana na wachezaji wetu wa SIMBA

Naumia sana na wachezaji wetu wa SIMBA

Heshima kwenu,
Simba wenzangu Hawa watu wanaweza wakatupeleka nusu fainali ijayo kweli wakiwapa muda au waondoke?
1: saidoo
2😱nana
3: jobe
4: fredy
5:mikson
6: taja mwingine
Babacar
 
Hapo wa kubaki ni miqquesone pekee coz ye pekee kati ya hao hapewi muda wa kutosha hata wa kuimprove
Akipewa nafasi miqquessone ni mchezaji hatari sana
Uwanja wa mazoezi kaonyesha kufeli
 
Wenye hasira ni wale ambao wanataka kupeleka kesi mahakamani wapewe ushindi wa mezani
Mtani yaishe, hongera sana hivi ulimsikia Ahmed alichosema?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kama kibu.d ati ni tegemezi simba

Huu si umakalio kabisa
 
Shida ya timu yetu ni kwamba wachezaji anaotaka kocha hapatiwi analetewa mbadala wake kisa bei
Kingine inatakiwa mpango mkakati kama wale wachezaji waliosajiliwa dilisha dogo wazawa kama wamekosa nafasi kwa nn wasitafutiwe timu za kupelewa kwa mkopo ili wapate mda wa kucheza
Pia kiukweli tunatakiwa kusajili upya hatuna timu kwa kweli na tusipo angalia tunakula tano tena kwenye ligi
 
Wadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine.

Ni ukweli usiopingika kwamba uwekezaji wa mo na kampuni yao ya metl katika club yetu pendwa simba sport club hauna tija, hauna faida kwa simba na pia haueleweki
Tunahitaji kuwa wawekezaji wengi, ili

1. Kuwa na mtaji mkubwa,
2. Kuleta uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa timu kwa sababu viongozi hawatakuwa vibaraka mwekezaji

Tunataka wawekezaji watakao weka hela mezani na sio kwenda kununua bond bot halafu ile fida ndio uilete kuendeshea timu, huu ni uwekezaji ambao hauna tija.

Muwekezaji akitumia brand ya simba kwenye bidhaa zake anatakiwa kulipia, na ashindanishwe na makampuni mengine, kama akikosa basi.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom