Naumia sana wakuu

Naumia sana wakuu

Ningekushauri urudi chuo ukadai ada yako, ila sasa naona kazi unayofanya ya mboga mboga inaendana na fani yako ya Biology maana ni mambo ya viumbe hai (wanyama na mimea) wewe ume focus kwenye mimea sasa.
 
Tumia elimu yako kwenye kila ufanyacho(hata kwenye hizo mboga unazotembeza weka ubunifu) utafanikiwa sana.

BTW, kama ID yako inasadifu elimu yako halafu umekosa kazi, basi kuna tatizo mahali.
 
Serikali yenu inakimbizana kununua latest land cruisers na kuhonga viongozi wa Dini. Vijana msiposhtuka mtaendelea kutawaliwa na wahuni
 
Tumia elimu yako kwenye kila ufanyacho(hata kwenye hizo mboga unazotembeza weka ubunifu) utafanikiwa sana.

BTW, kama ID yako inasadifu elimu yako halafu umekosa kazi, basi kuna tatizo mahali.
Kaka nimetafuta sehemu ya kufanya Kazi hata Bure lakini nimekosa. Private school wanalipa kwa tabu na kusumbuana tu. Ni heli ni zungushe mbogamboga kwa mwezi na uhakika wa ku earn 300k
 
Back
Top Bottom