Naumia vile hanijibu sms zangu lakini hatujawahi kuonana

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Mapenzi haya asikwambie mtu

Mtu mnakutana kwenye mitandao ya kijamii, mnafahamiana huko na kubadilishana hadi namba za simu

Baada ya muda mnaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi

Mnaendelea kuchati na kuwasiliana na hadi kuzoeana ingawa hamjawahi kukutana uso kwa uso

Jana tangu asubuhi nampigia sim, hapokei SMS zangu hajibu, WhatsApp na Jf online namuona, namtext hanijibu

Nimejikuta naumia kama vile tumewahi kukutana

Sijui kwa nini?
 
Nimecheka mpaka basi[emoji1][emoji1]
 
Hisia za za kimapenzi ni za kijinga sana ila embu jaribu kumpotezea mapenzi ya mtandao yana vimbwabga sana yanaumiza na kuwapa watu wengi sana sonona wengi wameolewa au wameowa au wana wapenzi wao mtandaoni wengi hutafuta wa kinjoy mapenzi japo wachache hupata bahat i mapenzi ya kweli
 
Definition ya maisha iko Complicated mno Kama utachukulia Kila kitu on left hand (-Ve Thought). Jaribu kuji-twist kwenye mawazo chanya utaona jinsi maisha yalivyo rahisi. Maybe your crush kaumia mikono, labda kaumwa,labda kaibiwa no nk.

Kua na at least a little faith in everything.
 
Kaka shikamoo upo kitambo sana kaka
 
Lakini namuona online!!
 

Hahahahaha kweli kabisa, labda kaibiwa simu

Sometimes wasiwasi ndiyo akili
 
Dah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…